Mwadui: Huyo Bocco, Okwi hawafurukuti!

 Simba imecheza mechi 17 za Ligi Kuu sawa na dakika 1,530 ikiwa haijapoteza mchezo wowote, ambapo kesho Alhamisi  itakuwa mjini Shinyanga kusaka pointi tatu ili kuendeleza ubabe wake, lakini Kocha  wa Mwadui FC, Ally Bizimungu ameapa kuwatibulia Wekundu hao kwa kuwachapa kwenye mpambano huo.
Read The Rest at mwananchi.co.tz

Comments

Loading ...